Ni kijarida cha SMS nzuri za Kushauri
Vitabu vya Burudani, Vitabu vya SMS
Jarida la SMS 12 Nzuri za kumshauri mpenzi wako
$0.00
Je unataka kumshauri Mpenzi wako? Unataka kumpa maneno mazuri yatakayo mjenga mpenzi wako? Leo umerahisishiwa kupitia kitabu hiki cha SMS za Kushauri.
SMS hizi zinaweza kuimarisha mausiano yako. Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kumshauri mpenzi wako na kumfanya aelewe mambo muhimu katika Mapenzi.
Kwa kutumia SMS hizi wengi wameweza kuwashauri wapenzi wao. Wasomaji wengine wamesema kupitia SMS hizi wameweza kwa namna moja au nyingine kuwabadilisha wapenzi wao.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure kabisa.
Bofya “Click Here to Download” kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.
ackyshine –
SMS nzuri za Kushauri