Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo Read and Write Comments
SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishinawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechokasababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimisina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa. Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,Kwa sababu NAKUPENDA sana Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku
Uamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi change Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Meseji ya kumsihi mpenzi wako muendelee kupendana kwa kuwa yeye ni wa kipekee
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na walasina wazo la kukutenda, nakuombatuendelee kupendana siku zote habbity wangu Read and Write Comments
Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana
wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaachamidomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendeleekupendana,wanafiki roho ziwaume! Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
SMS kwa mpenzi anayeishi mbali
Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Duniatofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi. Read and Write Comments











I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments