Kitabu Muhimu kwa Mkristu Mkatoliki kwa Tafakari za Kukuza Imani
Kitabu cha Tafakari kwa Mkristu Mkatoliki (Sehemu ya I)
Original price was: Sh3,000.Sh0Current price is: Sh0.
Hiki ni kitabu maalumu chenye cha tafakari kwa Mkristu Mkatoliki
Yaliyomo
1. Mambo ya kutafakari unapoelekea kukata tamaa …………………………………………………. 4
2. Vikwazo vya Ukamilifu na Utakatifu ……… 6
2.1. MAJIVUNO ……………………………………. 6
2.2. UMIMI …………………………………………. 9
2.3. HASIRA, UKOROFI NA CHUKI ……………. 13
2.4. MWISHO ………………………………………. 17
3. Tofauti Wakati Wa Kukomunika …………. 19
4. Mwaliko wa Toba na Kutubariki …………. 20
5. Matumizi Ya Mali ……………………………… 26
6. Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO …………………………………………… 31
6.1 Vile unavyoweza kuwa Daraja kwa Wengine …………………………………………………….. 31
6.2 Vile unavyoweza kuwa Kikwazo kwa Wengine …………………………………………………….. 33
6.3 Mwisho ……………………………………….. 34
7. Huruma ya Yesu Kristo kwa mwenye dhambi ………………………………………………. 36
8. Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema ……………………………………………… 39
9. Nafasi ya Mateso na Shida Katika Maisha ………………………………………………………… 41
10. Kujikabidhi Kwa Yesu Kristu ……………. 44