Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri kwa umpendaye
kiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yakoya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula nawali,usizidishe siki akawa mkali.Nimimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwishoakunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba
wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu
tabasamu
Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments
SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwakupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,nimeambiwa ilinipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.Je! uko tayari kuokoa maisha yangu? Read and Write Comments
SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyonimwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wakodaima, nakupenda dear… Read and Write Comments







I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments