Je kuna mtu umempenda lakini bado hujapata maneno mazuri ya kumwambia? Unataka kumwambia unampenda lakini hujui uanzie wapi? Leo umerahisishiwa kupitia kitabu hiki cha SMS Maalumu Kwa Umpendaye Kumuomba Muwe Wapenzi.
SMS hizi zinaweza kuamsha Upendo kwa mtu unayempenda. Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kumuonyesha mtu unayempenda jinsi gani unampenda na unataka muwe wapenzi.
Kwa kutumia SMS hizi wengi wameweza kuanzisha mahusiano. Wasomaji wengine wamesema kupitia SMS hizi wameweza kulegeza mioyo ya wale wanaowapenda na kuanza mahusiano.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure kabisa.
Bofya “Add to Cart to Download” kuchukua kisha utabofya “View Cart” kuhakikisha na utamalizia na “Checkout” ili uweze kuingiza taarifa zako na uweze kudownload na kusave kwenye simu yako na Kwenye Email yako.
Katika Website hii ya AckySHINE.com tunakuwezesha kupata Vitabu mbalimbali vya Kiswahili Katika mfumo wa PDF (Soft copy).
Unaweza kudownload kitabu chako hapa moja kwa moja ukakisoma hapo hapo na pia utatumiwa copy nyingine kwenye email yako ambapo utaweza kupata kitabu chako wakati mwingine kirahisi kwenye email yako.
Enjoyed? Rate this Article by click a Star Above and then Drop your Comment Below