Ujumbe wa kimahaba wa kumuuliza mpenzi wako anayatumiaje mapenzi
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatiana hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongezafuraha,je we unaitumiaje silaha hiyo? Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako kumwambia anayo sehemu yake ya kukaa kwenye moyo wako
Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utanipia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezikukosa nafasi ya kukuweka. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo
Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz Read and Write Comments
Meseji ya pongezi kwa mpenzi wako
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi lamapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawilichumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitotona zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,nahitaji uwe wangu mama watoto! Read and Write Comments
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye
Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, nauhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasininavyotamani kuwa nawe sasa. Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwishoakunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda. Read and Write Comments
SMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupemaisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazikwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments












I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments