Ni kitabu kinachotoa elimu ya Kilimo Cha Mboga. Kipo katika Mfumo wa PDF (Soft copy).
Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10.
Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu mbili kama ifuatavyo;-
Sehemu ya kwanza ni sehemu ya mbinu za kilimo cha mboga ambapo utaweza kufahamu mbinu mbalimbali za kilimo cha mboga kama vile kuandaa shamba na kitalu, udhibiti wa wadudu na magonjwa katika mboga, kuvuna na kuhifadhi mboga, vilevile utajifunza kuhusu kilimo cha matone.
Sehemu ya pili inaelekeza jinsi ya kulima mazao mbalimbali ya mboga kuanzia hali ya hewa inayohitajika, udongo, upandaji, utunzaji, magonjwa na wadudu pamoja na uvunaji. Kuna mazao kumi (10) yaliyotolewa maelezo haya.
Kwa hiyo utajifunza kilimo cha mazao hayo yote 10 ambayo ni;
Nyanya,
Kabichi,
Bamia,
Vitunguu maji,
Vitunguu twaumu,
Hoho,
Matikiti,
Karoti,
Uyoga
Matango
Bila kusahau kilimo cha mboga kama
Chainizi
Mchicha.
Kitabu hiki ni Soft copy [pdf] kwa hiyo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Bofya “Click Here to Download” kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.