Ujumbe wa kumtumia rafiki yako anayeolewa
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengiwatakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapoambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakinihawajapata wa kuwaowa Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu. Read and Write Comments
SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwakupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,nimeambiwa ilinipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.Je! uko tayari kuokoa maisha yangu? Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?
Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
SMS ya kumtumia mpenzi wako kujivunia kuwa na yeye
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboniyangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokeakutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu nakaraha za huu ulimwengu .nakupenda dia. Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika. Read and Write Comments
SMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu
Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangumtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tumwenye thamani kwangu katika hii dunia. Read and Write Comments








I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments