SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.
Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana
wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaachamidomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendeleekupendana,wanafiki roho ziwaume! Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako anayekujali
Kumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali nivigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali? Read and Write Comments
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yakonitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu,pendo langu la undani,na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu. Read and Write Comments
SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
»–——»> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktkmaisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uacheuchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu. Read and Write Comments
SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku
Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear! Read and Write Comments
SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments






I’m so happy you’re here! 🥳











































































Recent Comments