Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake
nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonganikaribishe na penzi le2 2listawishe. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Read and Write Comments
SMS ya kumwabia mpenzi wako kuwa unampenda sana
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe. Read and Write Comments
SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali
Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa mudafulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, nahuyo ni mimi mara zote nakujali. Read and Write Comments
Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe paleunapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchunguwake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je? Read and Write Comments
SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye
Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe hutawala, Kila asubuhi niamkapo, Nao usiku nilalapo, U …
SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye Read More »









I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments