
Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. Read and Write Comments

SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukila utaridhika.Matamu na maji yake hukata kiu haraka.Weupe watui lake lina ladha ukipika.Kupaka mafuta yake mwili hulainika.Na kwenye machicha yake kazi nying hufanyika.Hata na upepo wake uvumapo utacheka.Sikijui kitu chake kipi kisichotumika.usiku mwema Read …

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letuNdilo sababu ya nguvu yanguTangulia pembeni mwa macho yakeAsubuhi hii hadi usiku ujao Read and Write Comments

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumukufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwakuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye namashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhatna mapenz mazito zito, Read and Write Comments

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha

Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments

SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments

SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bilakukupenda wewe. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya
Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambomuhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, lapili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwakuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuunganapamoja. Nashukuru nimekupata wewe nikupendaye, naomba unipende na uungane name Read and Write Comments
Recent Comments