
Meseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni “utulivu”
Usiku Ni “mzuri”
Usiku Ni”upole”
Usiku Ni “kimya”
Lakini Usiku
Haujakamilika
Bila..Kukutakia
Wewe..
U
S
I
K
U=m=w=e=m=a!

SMS ya kumuomba mpenzi wako asiondoke asikuache
Nakuomba usiondoke, bali ubaki namiKwani wewe ndiye kamilisho la maishaYangu kwa sasa na siku za usoni Read and Write Comments

SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wanguumeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangupeke yako dearโฆ Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments

Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli
Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familiaPendo la kweli humaanisha, kupenda kweliKumlinda, kumjali, kuvumilia na kusameana Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Read and Write Comments

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake
tazama, nimezamandani ya baharila penzi lakosiwezikusonga mbelekurudi nyumasijielewihaya mapenzi ya fujo hayafaikama wanipendajaribu kunipa raha Read and Write Comments

SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. Read and Write Comments
Recent Comments