SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu Read and Write Comments
SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupendapilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamuwake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni mrembo na kumsihi asikuache
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mtiusiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww nimrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwanina kupenda xana tabua hilo mpnz wangu Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli kwa moyo wake wote
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeanabila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,naishia kukuota ndotoni,hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear! Read and Write Comments











I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments