Kitabu cha SMS za kuomba Msamaha
Vitabu vya Burudani, Vitabu vya SMS
SMS Maalumu za Kumuomba Msamaha Mpenzi wako Mnapokosana
$0.00
Hiki ni kijarida maalumu cha SMS nzuri za kumtumia mpenzi wako wakati mnapokua hamuelewani
SMS hizi zinaweza kuimarisha mausiano yako. Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kumtumia mpenzi wako maneno mazuri ya kumtuliza. Kwa kutumia SMS hizi wapenzi wengi wameweza kurudiana na wapendwa wao.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure kabisa.
Bofya “Click Here to Download” kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.
Melkisedeck Shine –
Kitabu Kinachopendwa
RESTUTA S. (verified owner) –
this book help me for really, nimeweza kusuluhisha tatizo nililokuwa nalo kwa mpenzi wangu. shukrani sana kwa ndugu AckySHINE
Anonymous (verified owner) –