Ujumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye
Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, nauhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasininavyotamani kuwa nawe sasa. Read and Write Comments
SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambomazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitotona zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,nahitaji uwe wangu mama watoto! Read and Write Comments
SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie. Read and Write Comments
SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
»–——»> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktkmaisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uacheuchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu. Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini KukupendaWewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Meseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni “utulivu”Usiku Ni “mzuri”Usiku Ni”upole”Usiku Ni “kimya”Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a! Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments