SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwinginehasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata. Read and Write Comments
Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo
UPENDO ni ubeti wa maneno yaliyo tamkwa mpaka sasa hajulikan nani alietunga!PENZI ni hadithi iliyocmuliwa lakin mpaka sasa hafahamik nan muhucka, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote huhis anasalitiwa.PENZI Ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahic litadondoka… Ucnielewe vibaya ckukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wap UMEPENDA au UMEPENDWA!je …
SMS nzuri kwa umpendaye asubuhi
, – .(. – .‘. .’‘ . . . ‘ Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa.“APPLE” Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo . Read and Write Comments
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele! Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
Usijute kunipenda, Nakupenda
Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Katika ulimwengu wa mahusiano ya kimapenzi, mawasiliano madhubuti ni nguzo muhimu ya kudumisha uhusiano wenye nguvu na furaha. Uthibitisho wa upendo, hasa kwa njia ya maneno, hucheza jukumu muhimu katika kuimarisha hisia za usalama, kuridhika, na kujiamini …
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wanguKitulizo cha moyo wanguKwenye shida na rahaWewe ni sehemu ya maisha yangu milele Read and Write Comments
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha










I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments