Ujumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana
Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unawezausihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangutu uliyoyaficha hayo. Read and Write Comments
SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati
moyo upendao kwa dhati.haujalish ni kababu au chapat.n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati.wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati. Read and Write Comments
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake
tazama, nimezamandani ya baharila penzi lakosiwezikusonga mbelekurudi nyumasijielewihaya mapenzi ya fujo hayafaikama wanipendajaribu kunipa raha Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?
Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali. Read and Write Comments
Meseji ya kumuomba mpenzi wako akupende maishsni
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda weweni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama nimapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zotemaishani mwangu. Read and Write Comments
Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda Read and Write Comments
SMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi
Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue mesejina kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichokekwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane Read and Write Comments










I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments