
SMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz Read and Write Comments

Meseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpwekeAu kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendoSio pesa wala siluhisho la matakwa yako. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments

SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha. Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa utampenda mpaka mwisho wa uhai wako
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi,ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupendampaka mwisho wa uhai wangu. Read and Write Comments

SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

SMS Nzuri za Mapenzi
Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyowangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu nimachozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozinihaitochuruzika ila mishipani… . Read and Write Comments

SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali
Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa mudafulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, nahuyo ni mimi mara zote nakujali. Read and Write Comments

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwaunaempenda Read and Write Comments
Recent Comments