SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu
Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewenitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sanaโฆ Read and Write Comments
SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ilanikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi, Read and Write Comments
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwadhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyonimwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushikadaima. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ilimapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.Mchana mwema Read and Write Comments
Meseji ya usiku mwema kwa umpendaye
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla hjalala. g9t










I’m so happy you’re here! ๐ฅณ












































































Recent Comments