
Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema

SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI,

Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo Read and Write Comments

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumukufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwakuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye namashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhatna mapenz mazito zito, Read and Write Comments

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Read and Write Comments

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumuomba kukutana na wewe
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
“””””Yule”””””Anipendezae lazima nimkumbuke””“”nimpe salamu “”moyo””wangu “”uridhike””“”Nimuombee kwaMWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke””“”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke””“”nakutakia””“ucku mwema” Read and Write Comments

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments
Recent Comments