
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments

Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments

SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ndiye mwanamke pekee mwenye sifa za kuwa mwanamke
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo. Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele
Tambua kuwa nakujali
Furahia kwamba nitakuwa na wewe
Katika siku zote za maisha yangu

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;wangu una wewe tu! Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake
mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza
♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamukusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Hurumahuoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosahusameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kilajambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendohuambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njiaza mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!naini mmoja katia ya wakupendao,hakika nimm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥ Read and Write Comments

SMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako
Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akiliyangu. Read and Write Comments
Recent Comments