
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni mtu muhimu sana katika maisha yako
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu nikubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe nimtu muhimu sana maishani mwangu. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtumia mume wako
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako. Read and Write Comments

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

Meseji ya kumsihi mpenzi wako muendelee kupendana kwa kuwa yeye ni wa kipekee
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na walasina wazo la kukutenda, nakuombatuendelee kupendana siku zote habbity wangu Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika
“Japokuwa” “Kuku” “Haogi” “Yai” “Lake” “Litabaki” “Kuwa” “Jeupe” “Tu” “Namaanisha” “Kuwa” “Hata” “Kama” “Ukiona” “Nipo” “”KIMYA”” Muda” “Mrefu” “”UPENDO”” “Wangu” “Kwako” “””Bado”””

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yanguusikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe. Read and Write Comments

SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya
Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambomuhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, lapili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwakuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuunganapamoja. Nashukuru nimekupata wewe nikupendaye, naomba unipende na uungane name Read and Write Comments

Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments
Recent Comments