Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU” Read and Write Comments
SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe. Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda,macho nayaangaza,taratibu navuta shuka na kujitanda,mishumaa pembezoni inaniangaza,mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosani joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda! Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. Read and Write Comments
Ujumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yuleatakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasiinapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letulaazizi wangu. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani,Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu.Ni zaidi ya roho iendayo safarini. Read and Write Comments
Ujumbe kwa mpenzi wako kumwambia hutopenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO” Read and Write Comments












I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments