
Meseji ya kumtahadharisha mpenzi wako na maadui wa penzi lenu
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafikizako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zakowanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. Read and Write Comments

SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.

SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI,

Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakamaya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimimilele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa? Read and Write Comments

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments

SMS nzuri sana ya Kimahaba
Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakinitafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Read and Write Comments
Usijute kunipenda, Nakupenda
Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Katika ulimwengu wa mahusiano ya kimapenzi, mawasiliano madhubuti ni nguzo muhimu ya kudumisha uhusiano wenye nguvu na furaha. Uthibitisho wa upendo, hasa kwa njia ya maneno, hucheza jukumu muhimu katika kuimarisha hisia za usalama, kuridhika, na kujiamini …

SMS ya kumwabia mpenzi wako kuwa unampenda sana
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi Read and Write Comments
Recent Comments