Ujumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku
Read and Write CommentsKila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo
huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,
nakupenda mpenzi
Read and Write CommentsKila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo
huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,
nakupenda mpenzi
Read and Write CommentsNingependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.
Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.
Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi.
Nakupenda sana Dear
Read and Write CommentsMpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsUsiku Ni “utulivu” Usiku Ni “mzuri” Usiku Ni”upole” Usiku Ni “kimya” Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a!
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsMmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac
hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na
unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.
Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa
ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.
Nakupenda kipenz cha moyo wangu.
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia