SMS za salamu za Asubuhi

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao

Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa