Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu

Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa

SOMA HII:  SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema