SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako

We Kipepeo,
,.-.-.-._.’ //’_.-.-.-.,
   ”-.,-.:-)i(:’.-,.-”
      ‘-..-‘()’-..-‘
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau. Kisha umuage kwa kumwambia nakutak..

SOMA HII:  Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye