
Kilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa “MASHOGA” wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa “sasa ninyi ni MKE na MUME”

Angalia huyu mgonjwa
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.Daktari: hilo tatizo lilianza lini?Mngojwa:tatizo lipi?😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
“Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…”

Simu ilivyozua utata
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja …

Hapa itakuaje?
NAJISIKIA NIMEBOEKA… SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO….. 😜😜😜😜😜🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾 Read and Write Comments

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada
Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo moja na robo. Mdada akamuulizamuuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzajiakamchukua yule kuku nakujifanya kamrudisha kwenye friji, halafuakamtoa tena kwenye friji nakumrudisha kwenye mzani, safari hiiakagandamiza mzani kwa gumba,kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdadaakasema ‘Duh afadhali huyumkubwa kidogo, naomba unifungienawachukua wote …
Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada Read More »

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji

Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema” SIMAMA”Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimamaPastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri” kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti …

Lugha za namba ni noma
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU 😂😂mtatuua na lugha zenu😜 Read and Write Comments

Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo
LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TU……… SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELE😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments

Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni “nikusaidie nini?”

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa
😂😂 kweli nimeamin mitandao inahribu watu Leo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabaran kapendeza jamaa kamwendea Dada akamwambia!Dada nice photo 😂😂😂😂 Read and Write Comments

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!
Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema

Nilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoa….. *nataka ujinga kwan mimi😆😆😆* Sahv narudi zangu kwa mguu😩 Read and Write Comments

Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa
Jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…
Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka.

Dunia ina mambo, soma hii
Dunia ina mambo Kuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wake😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Cheki tulichokifanya jana
JANA APA HOME JENERETA LILIWASHWA ACHA TUHANGAIKE KULIKUNA 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa
Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia. Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!. kanisa zima hoi, Read and Write Comments

Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema “mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani” nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Recent Comments