Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? *sipendagi ujinga Read and Write Comments
Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap? Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo… Read and Write Comments
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa.. yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu Akikuita tu “my love”unajiskia tu kuvua nguo mwenywe..hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee Yani …
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi?? Read More »
Angalia huyu dada alivyoumbuka, Duh! Alijua haoni!!!
Dem anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, dem kavua ile kanga akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua frank hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya.. DEM: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA YAANI HUONEKANI SIKU HIZI..? FRANK: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI …
Angalia huyu dada alivyoumbuka, Duh! Alijua haoni!!! Read More »
Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema “mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani” nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!!
Angalia hivi -Mlinzi wa Getini lazima awe chizi-Mtu yupo kijijini, maisha magumu ana Wavekichwani.-Kama bosi atakuwa na kampuni basi ni lazimaitakuwa ya Clearing and Forwading au ya uuzajiMagari.-Lazima waende Kununua nguo.-Jambazi lazima avae koti lefu jeusi na Miwani.-Mtu akichapwa kofi huangukia kwenye kochiama kitandani.-Actress huwa hawapiki hata chai.-Kwa mdada akiishi maisha ya kitajiri lazimaavae nguo …
Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!! Read More »
Angalia huyu demu alivyo mbulula
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,
Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka
Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?
Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa
Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti. Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto. Nini …
Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa Read More »
Mipango ya mke na mume ya pasaka
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..Mume: Nitafanya kama yesu..Mke: Unamaanisha Nini? Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria..Mume: Unamaanisha Nini?Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu..Mume: 😳😳😳 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; “Tupige magoti tusali”,
Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emen…
Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!
Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema
Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?
MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako
Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.
Angalia huyu jamaa alivyoachika na msichana wake kwa kujidai kuongea kingereza na mwishowe kuchanganya maneno
MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me.
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema.
Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa
SIFA MBAYA…Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.JAMAA;wife Mara hii umenimiss jamanWIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hawa ndio wanaume wanaoweza kushinda vishawishi
Wanaume wenye kushinda vishawishi ni; Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishi🤣🤣🤣🤣🤣 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂ Read and Write Comments
Mambo ya mke na mume haya, chezea mchepuko!?
Mume akamwambia mke wake:
“Funga macho yako tufanye maombi”
Akaanza kwa Kimombo:-
“… Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4….”
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments