
Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu Read and Write Comments

Cha kufanya mpenzi wako akikuacha
Kumkomoa… MPENZI WAKO AKIKUACHA BILA SABABU CHUKUA SIMU MPIGIE MAMA AKE MWAMBIE MWANAO AMEKUFA UWEZI…. KULIA PEKE YAKO🤒 Read and Write Comments

Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments

Soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?
Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba,

Jamaa mpenda michepuko kapatikana
…Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia lakin kabla hajasema shida yake anaamua kukata simu. Unashikwa na hamu ya kujua ni nani. Tamaa ya mchepuko inakujia ghafla na kuamua kuipiga ile no tena kwa mara nyingine …

Stori za simu za wavulana na wasichana
STORY ZA WASICHANA KTK SIM Mary… Hallow mpenziiLily…. Niambie my dearMary..Pouwaa za siku jamaniLily…Nzuri rafiki Yangu wa damuMary…Jioni nakuja kwako tule Nakunywa japo wine wanguuLily…Nakusubiri kwa hamuumpenziiii BAADA YA KUKATA SIMU…KILAMMOJA ANAWAZA Lily…Huyu mchawi wa kike Leoanataka kuja kwangu wala hanikuti.Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyukahaba eti nakusubir Kwa hamuunani aende!!! STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU John…Niaje we …

Angalia huyu mwanamke mwenye wivu kwa mumewe alivyoumbuka, Mme wake kamuweza kweli
WIVU HUU NI NOMA
Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?
Mume: Kama nywele za kichwa changu.

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?
Google alisema : mimi nina kila kitu Facebook ikasema : mimi najua watu wote Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu ! umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Bongo usanii mwingi!!!
BONGO USANII UMEZIDI DAAH!! …yani nakupeleka dinner unakula sana vipaja vya kuku na chips yai halafu nakupeleka bar unakunywa sana tu, tukitoka hapo nakupeleka club, Masaa yote hayo hakumbuki kuniambia upo periods hadi mdaa wakwenda kulala ndo beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani… Hapo ndo unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree😂😂😂😂 Ndooo maana mabinti …

Madenge hakosi visa. Soma hii
MADENGEHAKOSIVISA baada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayoMADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu ww inakuuma? lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu kila mtu akae na mamayake. 😂😂😂 Read …

Hizi sifa zimezidi sasa
MADEM KWA SIFA.. kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamsikia BABY KARIBU TUMEZE DAWA 😂😂😂 Read and Write Comments

Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake
Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana. Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50akapiga chochoro za kutosha kishaakamtupa,akaanza safar ya kurud nyumbanbaada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mkewangu huyo paka yupo? MKE:Ndio mume wangutena ametulia hapa kwan imekuaje? JAMAA:hebumpe cm anielekeze njia ya kurud nimepotea😳 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read …
Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake Read More »

Hii dunia kweli haina haki, soma hii
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,? Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💤 Read and Write Comments

Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap? Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo… Read and Write Comments

Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka.
MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,

Mvua zazua kasheshe! Soma hii..
Baba- : Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA:- Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA:- Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambiaMAMA:- kha! Sasa watoto nani atawaangaliaBABA:- Unasemaje! We uko wapi kwanMAMA:- Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi.BABA:- Unasemaje we …

Unakumbuka hizi enzi za utoto?
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika 1. UGALI NA KUNDEMwitaji : 🗣JoniiiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Uje ukule 2. UGALI NA SAMAKIMwitaji: 🗣 we JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Unaitwa na Mama 3. WALI NA NYAMA/KUKUMwitaji: 🗣 JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Shauri yako!😂😂😂😂😂😂 Read and …

Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani
Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele Read and Write Comments

Huyu mlinzi bwana
High school Flashback!!.Watchman : Amkeni muende morning preps.Allan : Mimi ni mgonjwa.Watchman : Unaumwa na nini hiyo?Allan : Bionomial Nomenclature.Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu nimbaya. Imeuwa watu South Africa.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #_Sipendagii ujinga kabisaa mimi Read and Write Comments

Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Recent Comments