Duh. Chezeya kuhama!
Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo😡😡😡😡😡 Read and Write Comments
Mabinti wengine kwa kupenda hela! cheki huyu anachokifanya
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Mchaga aliyemshangaza Mungu
Mchungaji anawaambia waumini: Fanya jambo moja la kumshangaza Mungu… Dakika mbili nyingi Mchaga akakimbia na kapu la sadaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani. Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company 😂😂😂 Read and Write Comments
Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Hapa ni shida KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments
Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Staili nyingine za michepuko ni shida
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,MKE: Unataka nini we mpumbavu? MUME: Nani huyo unamtukana?MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badaeMCHEPUKO:Nawewe pua kama poaMKE:Miguu kama masaa mawiliMCHEPUKO:Masikio kama sichelewiMKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga mlangoMUME: mwambie ana macho kama sitoki leo …
Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?
“MAENEO FLANI ya KISHUA” -Mshikaji kamwona demu mkalianakatiza kitaa akamkubali akaamuaamfuate amtemee cheche MSHIKAJI- mambo dada? DEMU- pouwa MSHIKAJI-umependezaa!!! DEMU- asante. MSHIKAJI- unaweza ukanisaidianambayako ya simu……..maana duhnmekukubalikinyama. Demu baada ya kuambiwa vileakazama kwenye pochi lake akatoanoti yash.10000 akaandika namba yakekwenyenoti akampa mshikaji. Mshikaji kapokea ile noti kachanasehemiliyoandikwa namba halafukamrudishiaDemu noti yake..!!! NANI ANA DHARAUNA NANI …
Breaking news
Breaking news 💥 Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia🏃🏿 kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema 😕😕 Read and Write Comments
Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari
MDADA: Baby nikwambie kituMKAKA: Yeah Baby Uko huru nambieMDADA: nilikua naomba hela baby☺MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn 😖MDADA: hapana😌 Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur .😂😂😂😂😂😂😂😂Wanawake kumbukeni sio vizuri Read and Write Comments
Tabia za wachepukaji
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kilawakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazimaakwambie hebukwanza…….4. Kamwe haiiti always vaibration.5. Namba nyingi ha save.6. Kuna simu hapokei hataiweje….anapenda sms zaidi7.Majina mengi kwenye simu yameseviwakwa majina yakufikirika.8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.9.Anapenda password na anabadili marakwa mara.10.Akiazima simu yako, akitumia tuanafuta dial …
Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake
WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Huku ndiko kuumbuka bila chuki
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema Read and Write Comments
Kama mpezi wako akikuita MAMITO Unatakiwa umjibu hivi
Akina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubali na yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwai🤪🤪🤪🤪🤪🤪 Read and Write Comments
Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo
Dokta alipotembelea wodi ya mgonjwa wake aliyepata ajali. Mgonjwa akiwa amening’inizwa mikono juu akauliza “dokta ntaweza kweli kupiga kinanda nkitoka hospitali?”
Dokta: Bila shaka utaweza, wewe ni mpiga kinanda mzuri enh?
Mgonjwa: Hapana sijawahi kabisa bado.
Hawa ndio wanaume wanaoweza kushinda vishawishi
Wanaume wenye kushinda vishawishi ni; Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishi🤣🤣🤣🤣🤣 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂ Read and Write Comments
Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni
Fanya hivi Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie “NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA”atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zoote😂 Read and Write Comments
Tabia za Kimama kwa wanaume
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..😂 2, mwanaume kupiga picha umeng’ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..😂 3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia nawe ni MMAMAA…😂😂 4, Mwanaume kuandika …
Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani? ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga. MWAL: Safi sana Rose. …
Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi? Read More »
I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments