Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladalaMKE: Na lipstiki kwenye shati?MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetuMKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingiziMKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi …
Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti Read More »
Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake
MUME: “Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”
MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”
SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!😅😅😅😅 😝😝😝😝😝😝 Read and Write Comments
Nilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoa….. *nataka ujinga kwan mimi😆😆😆* Sahv narudi zangu kwa mguu😩 Read and Write Comments
Haya mawazo ya huyu Mtu kuhusu Shetani ni kiboko
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari
MDADA: Baby nikwambie kituMKAKA: Yeah Baby Uko huru nambieMDADA: nilikua naomba hela baby☺MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn 😖MDADA: hapana😌 Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur .😂😂😂😂😂😂😂😂Wanawake kumbukeni sio vizuri Read and Write Comments
Bongo usanii mwingi!!!
BONGO USANII UMEZIDI DAAH!! …yani nakupeleka dinner unakula sana vipaja vya kuku na chips yai halafu nakupeleka bar unakunywa sana tu, tukitoka hapo nakupeleka club, Masaa yote hayo hakumbuki kuniambia upo periods hadi mdaa wakwenda kulala ndo beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani… Hapo ndo unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree😂😂😂😂 Ndooo maana mabinti …
Huyu mlinzi bwana
High school Flashback!!.Watchman : Amkeni muende morning preps.Allan : Mimi ni mgonjwa.Watchman : Unaumwa na nini hiyo?Allan : Bionomial Nomenclature.Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu nimbaya. Imeuwa watu South Africa.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #_Sipendagii ujinga kabisaa mimi Read and Write Comments
Cheki nilichomfanyia huyu dereva tax
Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea… Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya ….nikamwambia_ ..KATA KUSHOTO 😂😂 Read and Write Comments
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview😥😥😥😭 My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Mimi ndio nimeelewa hivi!
Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, “Never trust women” Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range Rover 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cheki huyu dingi alivyo mnoko
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule “Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny” anakuuliza “pckt mny” ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha “pocket money” af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000. Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe. Read and Write Comments
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE 😅😅😅😅😅 Read and Write Comments
Kilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa “MASHOGA” wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa “sasa ninyi ni MKE na MUME”
Kilichotokea baada ya mzungu na mbongo kukaa siti moja, bongo wasanii wengi
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!,
Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=.
Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?
Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.
SMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….. “Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni dipone😂😂😂😂😂😂😂😂Hapana ChezeaBafua Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu Read and Write Comments
Angalia huyu Jamaa alivyomuweza huyu mrembo
Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu.”Nimesema stakii,stakii tena unikome”😳😳 Nami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vile”Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?”☹ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂MIMI SIO MTU WA MCHEZO …
Unakumbuka hizi enzi za utoto?
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika 1. UGALI NA KUNDEMwitaji : 🗣JoniiiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Uje ukule 2. UGALI NA SAMAKIMwitaji: 🗣 we JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Unaitwa na Mama 3. WALI NA NYAMA/KUKUMwitaji: 🗣 JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Shauri yako!😂😂😂😂😂😂 Read and …
KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku
Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa 😆😆😆😆 Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments