
Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?
Google alisema : mimi nina kila kituFacebook ikasema : mimi najua watu woteWhatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyiInternet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu !umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?

Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke
Hiki ndiyo kifo. KIFO NI NINI.. Kifo ni pale girlfriend wako anapofanya fujo Club akiwatukana MABAUSA Huku akisema “BABY WANGU HATA HAWAOGOPI” 😀😀😀😀 Read and Write Comments

Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? *sipendagi ujinga Read and Write Comments

Jamaa mpenda michepuko kapatikana
…Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia lakin kabla hajasema shida yake anaamua kukata simu. Unashikwa na hamu ya kujua ni nani. Tamaa ya mchepuko inakujia ghafla na kuamua kuipiga ile no tena kwa mara nyingine …

Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki

Walevi wana Mambo! Angalia wanachokisema
WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO MLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweli MLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeli 😆😆😆😆😆 Read and Write Comments

Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu
“`Nimetoka interview hapa ya job flani Wameniuliza “so how far did you go with your education?”, nikawaambia.. “””””I didn’t go very far because our school was just behind our house””” wameniambia ningojee watanipigia!“`……. 😀 *your prayers plz* Read and Write Comments

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga
Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. 😀😀😀😀 Read and Write Comments

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke
Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisi… 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Nilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoa….. *nataka ujinga kwan mimi😆😆😆* Sahv narudi zangu kwa mguu😩 Read and Write Comments

Wadada lenu hili. Mimi sipo
Wadada kama una sura mbaya subiri NEEMA YA BWANA..Sio kutuambia mna uzuri wa Ndani usioonekana..Sisi ni Wanaume,Sio MINYOO 😂😂😂😂 Read and Write Comments

Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele “mamaa” mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu “mama nimeota ndoto mbaya sana” ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu “nimeota tumefungua shule” 😂😂😂😂😂 🌚🌚Kibaooooo nyau wewe Read and Write Comments

Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!… DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet 😂😂😂😂 Read and Write Comments

Huyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu??? MME: Hapana mke wangu, sema kingine MKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs? MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue Read and Write Comments

Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa
Mtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga. Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwanangu….. Read and Write Comments

Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu
HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂 Read and Write Comments

Watu wana vimaneno
Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tu Dah!! Nimecheka hadi basi leo 😸😸😹😹 Read and Write Comments

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika
HABARI MPASUKO.. jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akiji uma mwenye ndo …
Recent Comments