Jambo usilolijua kuhusu mwili wako
JE WAJUA!…..Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?…………..Nakuona unavojaribu kubana jicho …..UTAKUJA KUNYA BUREEEE, hutaniwiii?!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
SMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….. “Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni dipone😂😂😂😂😂😂😂😂Hapana ChezeaBafua Read and Write Comments
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview😥😥😥😭 My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Angalia nilivyomkomoa huyu dogo
Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi 😡😡😡😡😡😡 Read and Write Comments
Nimeitoa sehemu
If…99 is: Ninety nine,88 is: Eighty eight,77 is: Seventy seven,66 is: Sixty six,55 is: Fifty five,44 is: Forty four,33 is: Thirty three,22 is: Twenty two,Why 11 not Onety one? Wazungu msitufanye Vilaza….!! 😂 😂 😂 😂😂 😂 😂 😂 😂 😂Mungu anawaona Read and Write Comments
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa.. yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu Akikuita tu “my love”unajiskia tu kuvua nguo mwenywe..hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee Yani …
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi?? Read More »
Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahiMimi; kwa nini?Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguuMimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zari…😁😁😁naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua Read and Write Comments
Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap? Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo… Read and Write Comments
Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke
Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisi… 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize… Kaka, mbona u mnyonge hivyo?” Jamaa : ‘aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!! 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
Pale unapokuwa umefulia sana… Mgeni anakutembelea Maskani kwako….Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni……Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite …
Mimi ndio nimeelewa hivi!
Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, “Never trust women” Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range Rover 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Muda ambao unaweza kumzoea dingi
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. 😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Kilichotokea baada ya kichaa kumfumania mke wake na mwanamme mwingine
Jay akaruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ileee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema
Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata
Kubeba nauli kamili nayo ni shidaYani nimepanda daladalaKondakta mmoja akaingia kwenye Gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa Gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma baade Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa Kondakta akacheka na kusema huyo tuliemlipa ni kipofu na alikuwa …
Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata Read More »
Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Cheki huyu dingi alivyo mnoko
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule “Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny” anakuuliza “pckt mny” ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha “pocket money” af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000. Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe. Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments