
Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake
{ NGOMA DROO}Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital{Sasa na sisi} wanaume tunasemaKuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk ๐๐๐๐๐๐Wanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeee๐๐พโโ๐๐พโโ๐๐พโโ๐๐พโโ Read and Write Comments

Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita BeibโฆBABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu AlafuWakafanya Nini Hawa Nguruweโฆ DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari ZakikaziโฆMAMA: Kwa Hasira Babako Amesema UwacheKuongea Na Chakula …

Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga
Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.๐ค๐ฝ๐๐ฝ Mwanamke wa kitanga:Unampa hela anapika vitu mtaa mzima unasikia harufu ya chakula, chenji inayo baki ananunua kinga ukirudi unakula afu unakula..๐๐ผ๐๐ผ๐ค๐ฝ๐๐ฝ Mwanamke wa kihaya:Unampa hela ukirudi unakuta majirani wote wanataarifa …
Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga Read More »

Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.

Wazo la jioni hii
๐ขWAZO LA JIONI HII ๐ข KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA๐ Read and Write Comments

Kifahamu Kidada kimbea kilichofukuzwa kazi
Unafahamu? Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzako ๐ฒ ๐ฒ Read and Write Comments

Cheki nilichomfanyia boss wangu
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami.. Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallahโฆ!!sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!!Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna …

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaaโฆ๐๐ Read and Write Comments

Huyu mama mkwe kazidi sasa
Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini zipu ya suruali yake ilikuwa wazi. Mama akamuuliza, mkeo …

Angalia huyu mtoto anachomjibu baba yake baada ya kutoka kwenye mtihani
BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.

Cheki kilichompata huyu dada!!
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele, Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!๐ญ๐ญ๐ญ Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako! Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!! hata mimi hoiโฆ๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments

Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโฆ๐๐๐๐ Read and Write Comments

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu
HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHEโฆ..ย ๐๐ Read and Write Comments

Breaking news
Breaking news ๐ฅ Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia๐๐ฟ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema ๐๐ Read and Write Comments

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii
Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leoย Wadada acheni hizoย ๐๐๐๐๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐ Read and Write Comments

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga
Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. ๐๐๐๐ Read and Write Comments

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu
Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga …

Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..
JE WAJUA? Je wajua kwamba kuku wa kwenye Whatsapp anamzidi tembo ukubwa? ๐๐๐ฝ๐. ๐๐๐Maajabu! Read and Write Comments

Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!!??
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAIโฆ Asilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLEโฆ HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI.. Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!?. Read and Write Comments
Recent Comments