Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupuโฆNikaamua kuvaa glovesโฆSipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwakoโฆ
Boss akabaki anashangaaโฆ Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Huyu dogo nimsaidieje? Cheki alivyojichanganya
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ”ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!! .. NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI, Read and Write Comments
Biashara ambayo imefeli
*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe*STUDENT*: Changudoa akipata mimbaโฆ*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_๐๐ Read and Write Comments
Hii kazi kweli kweli, Ungekua wewe ungefanyaje?
UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA WW NDIO UMETOKA MLE NDANI ..unaamua kurudi ili uka flash bahat mby …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi Read More »
Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu
“`Nimetoka interview hapa ya job flani Wameniuliza “so how far did you go with your education?”, nikawaambia.. “””””I didn’t go very far because our school was just behind our house””” wameniambia ningojee watanipigia!“`โฆโฆ. ๐ *your prayers plz* Read and Write Comments
Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli
Rashidi alimpa ujauzito mwanafunzi, akashtakiwa.Kumbe Rashidi ana bibi yake mtaalamu wa yale mambo yao ya Sumbawanga, akampachika Rashidi i jinsia ya kike. Alipofika mahakamani kuhojiwa Rashidi akasema sijampa ujauzito kwa sababu mimi pia nina jinsia ya kike.Kwa kuthibitisha Rashid wakaenda kumkagua basi akashinda kesi, kufika nyumbani Rashid akawakuta watu wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?Akaambiwa bibi yako …
Hapa itakuaje?
NAJISIKIA NIMEBOEKAโฆ SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIOโฆ.. ๐๐๐๐๐๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ Read and Write Comments
Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake
Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana. Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50akapiga chochoro za kutosha kishaakamtupa,akaanza safar ya kurud nyumbanbaada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mkewangu huyo paka yupo? MKE:Ndio mume wangutena ametulia hapa kwan imekuaje? JAMAA:hebumpe cm anielekeze njia ya kurud nimepotea๐ณ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read …
Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake Read More »
Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza ‘what happened to my plate?House girl akajbu: ‘The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeeโฆโฆthe pasuka paaaaaaaa๐๐๐๐hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika Read and Write Comments
Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress
Mapenzi ni balaa Mapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what’s wrong๐ค-โunawez kumjib MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEW๐คฃ๐คฃ๐คฃ Read and Write Comments
Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti
BABA MWEUSIMAMA MWEUSI na ww walikuzaa mweusi lakini umefikisha miaka 20 umeanza kua mweupe โฆ..HAPO NDO WAZAZI WANAJIULIZA hv mbegu ilkua ya kinyonga au๐๐๐๐ Read and Write Comments
Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke
Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa waziโฆSisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisiโฆ ๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Cheka na methali
1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka7.Dua la kuku=Bismilah rahman rahim11.Penye wengi= Pana Ajali au Tukio12.Ukiona vyaelea= Ujue ni vyepesi.13.Mwenye nguvu= amekula ugal wa dona(โฆ..) Read and Write Comments
Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere
Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!! Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Maisha ya kijijini hadi raha!!
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe, Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000. Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel ๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence. 5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka. 6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu …
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu Read More »
Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira2.Dogo mnene Lazima awe golikipa3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze 4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha7.Inaruhusiwa kubadili golikipa kama ikitokea penat na baada ya apo ataendelea kudaka yule yule8.Mechi itaisha pale giza linapoingia9.wale …
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments