Sababu ya watu kupenda mapenzi kuliko vita
Mwalimu aliuliza swali
“Kwanini watu wanapenda MAPENZI kuliko VITA?
Wanawake wanavyopenda hela, hadi kutoka kwa nyani na ngedere
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa…Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu…..Wanavyopenda hela😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Duh. Chezeya kuhama!
Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo 😡😡😡😡😡 Read and Write Comments
Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa. 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjikamwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugunduahawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka katimume18 mke 16.Huvunjika baada ya miaka 3 au4 ya ndoa. 4. NDOA YA …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi Read More »
Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake
MUME: “Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”
MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”
Cheki huyu mtoto anachosema
sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia GRANDMOTHER CRY 😠😠😠 sijui nikabadilishane na kijiko cha chumvi🤔🤔🤔 Read and Write Comments
Angalia huyu mwanamke mwenye wivu kwa mumewe alivyoumbuka, Mme wake kamuweza kweli
WIVU HUU NI NOMA
Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?
Mume: Kama nywele za kichwa changu.
SMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….. “Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni dipone😂😂😂😂😂😂😂😂Hapana ChezeaBafua Read and Write Comments
Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; “chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE”. Unafikiri atakuwa amekula nini? Read and Write Comments
Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?
Siku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiri Hakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadundaDeni,, Deni,Deni, Deni .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶🏽♂ Read and Write Comments
Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!… DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet 😂😂😂😂 Read and Write Comments
Eti kwani wewe ni turubali?
Unakuta MTU mwaka Mzima Umehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30, Mikutano kanisani 40, Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman?? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Utani kwa wadada wembamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii ………mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii 🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments
Mambo ya kijijini haya!
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni “nikusaidie nini?”
Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya
Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah
Wanandoa wa Kijapani wakibishana
*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani* *Husband: Takamushi jiku.**Wife :hashi jiku mishihe**Husband: inamoto kushini hat a pi**Wife: jejeta takuna mota shinita**Husband: kituya sitina kutara*.*Wife: totori yatika miniya* _Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine_ 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cheki jamaa alivyoumbuka baada ya kuhudhuria semina isiyomuhusu
Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture
2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation
Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua
Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6.. Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza 🍺 huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo… Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. …
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments