Angalia wanachokifanya Zuzu na msichana chumbani kwenye giza
Zuzu: Mambo Anna!
Anna: Poa!
Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyeshe…
Anna: Kitu gan?
Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)
Anna: Haya nionyeshe…
Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!…DAKTARI :- Unajisikiaje?CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet😂😂😂😂 Read and Write Comments
Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi
“`html Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships Navigating the landscape of romantic relationships often involves navigating the nuances of communication, including the use of pet names. While pet names can be a sweet and affectionate way to express intimacy, it’s crucial to ensure that these terms reflect mutual respect and understanding within …
Cheki huyu mtoto anachosema
sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia GRANDMOTHER CRY 😠😠😠 sijui nikabadilishane na kijiko cha chumvi🤔🤔🤔 Read and Write Comments
Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake
Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa. Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako. Mume Akasema👉👉 Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja Mauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cheki huyu dingi alivyo mnoko
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule “Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny” anakuuliza “pckt mny” ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha “pocket money” af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000. Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe. Read and Write Comments
Cheka kidogo na wewe hapa
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*😂😂😂😂😂 Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST” 😂😂😁 Read and Write Comments
Ex wangu kasema tukapime, cheki nilichifanya
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et “NILIOTEMBEA NAO WOTE MKAPIME” Saizi nipo apa kwa fundi nguo, napimwa kitambaa Harusi sijui lini anapenda kushtukiza huyu Read and Write Comments
Cha kufanya mpenzi wako akikuacha
Kumkomoa… MPENZI WAKO AKIKUACHA BILA SABABU CHUKUA SIMU MPIGIE MAMA AKE MWAMBIE MWANAO AMEKUFA UWEZI…. KULIA PEKE YAKO🤒 Read and Write Comments
Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya
Et Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndani…😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.😉 Read and Write Comments
Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi Read More »
Amri za chuo
Ndio hizi sasa 1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.5.Usisapu6.Usidisko7.Usitumie mkopo ovyo.8.Usitaman chuo cha mwenzio9.Usitamani fakat ya mwenzio10. Usitaman bumu lake wala chochote alichonacho. hahaha chezea chuo …
Baadhi ya misemo mikali ya leo
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu…..Interviewer: where were u born?Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..😂😂😂 Cpendagi ujinga mim Read and Write Comments
Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?
Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize. Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimuMwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbele😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?
MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????BABA: Mbeya MTOTO: Mama nae kazaliwa wapi????BABA: TangaMTOTO: Mimi jee?????BABA: DarMTOTO: Sasa tulikutanaje????😂😂 hapo wee kama baba ungemjibuje mwanao😳😳😳 Read and Write Comments
Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo
LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TU……… SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELE😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara
MZEE:”sasa huyu mgeni sijui alale wap?”
MKE:”saa hizi ni usiku akalale na Bebi.”
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:”msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi” akalala
asubh wanakunywa
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments