Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu
“`Nimetoka interview hapa ya job flaniWameniuliza “so how far did you go with your education?”, nikawaambia.. “””””I didn’t go very far because our school was just behind our house”””wameniambia ningojee watanipigia!“`โฆโฆ.๐ *your prayers plz* Read and Write Comments
Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; “Tupige magoti tusali”,
Wakapiga magotiโฆ:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenโฆ
Baadhi ya misemo mikali ya leo
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa
JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng’ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng’ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng’ombePADRI: Mi naona mueleze Mungu direct, mi sikuelewi kabisaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!
Binti: Hallow mpenzi, Mambo Jamaa: Poa baby Binti:Uko wapi? Jamaa: Niko town napata lunch Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini? Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya …
Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana! Read More »
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi
*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:* *Teacher:* `Who is a pharmacist?` *Shemdoe:* ๐๐ฟ _(raised up his hand.)_ *Teacher:* `So itโs only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?` _(There was no reply from the students)_ *Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua …
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi Read More »
Swali la kizushi kwa wadada wanaovaa mawigi
Hivi wadada mnaovaa mawigi. ๐๐ฝย Utajisikiaje siku Boyfriend wako anaingia chumbani halafu anatundika NDEVU kwenye henga๐คฃ Read and Write Comments
Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโฆ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??โฆ. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments
Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo yakafuatia:
Mkulima: Baba yako yupo?
Mtoto: Hapana Mzee, amekwenda mjini.
ย
Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi
“`html Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships Navigating the landscape of romantic relationships often involves navigating the nuances of communication, including the use of pet names. While pet names can be a sweet and affectionate way to express intimacy, it’s crucial to ensure that these terms reflect mutual respect and understanding within …
Cheki hawa wachungaji
CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: …
Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuuโฆ..Interviewer: where were u born?Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..๐๐๐ Cpendagi ujinga mim Read and Write Comments
Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo
LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TUโฆโฆโฆ SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELE๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Wanawake hii nayo ni romantic ?๐
Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?๐ธ๐ธ Read and Write Comments
Darasa lolote lile halikosi watu kama hawa
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:1. Mrembo wa darasa.2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja.4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera.5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi. 6. Mlafi. Huyu …
Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta
MUME: Fungua mlango! MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako. MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa. MKE. Kufa huna faida yoyote duniani! MUMEย kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii! MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje. MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje. MUME: Piga …
Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta Read More »
Soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?
Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba,
Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโฆ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar
Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ














































































Recent Comments