Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.
Cheka kidogo na wewe hapa
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*๐๐๐๐๐Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST” ๐๐๐ Read and Write Comments
Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya
Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniโฆ. Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80. Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajajaโฆ. ๐๐๐ Read and Write Comments
Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?
1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha 2:Baba yako kauza ng’ombe ili alete ng’ombe mwingine shule 3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe 4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako 5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale 6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu 7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote 8:Tunavisaidia tu …
Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa? Read More »
Sababu ya mwanaume kunya kitandani alipokuwa kalala na mke wake
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.
Jamaa akafoka, “Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?”
Yule mtu akajibu, “Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!”
Jamaa, “Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijanaโฆ naomba nirudishwe!”
ย
Angalia nilivyomkomoa huyu dogo
Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote..ย Sahii nmemtuma superglue haongeiย Sipendi ujinga mimiย ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Read and Write Comments
Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi? MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.MALAIKA: Kwa nini?MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani patakuwa senta ya hatari, supu na nyama choma muda …
Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya
Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu , Nina pesa zangu ktk account hapa bank naogopa usilale …
Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya Read More »
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa
Looku Looku* ๐๐ *Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hiiโฆ.!!* *Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.* *_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata …
Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga
Ndoto zingine bwana usiombe zikupate Mimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hivyo ikabidi nishuke ili kuisukuma loh! Yani kudadeki ile kuamka nikakuta nimesukuma kitanda hadi sebleni Daaa ilinisikitisha sana jiangalie sana sese hivi ndio narudisha kitanda chumbani .angalizo angalia ndoto unazo …
Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake
Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana. Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50akapiga chochoro za kutosha kishaakamtupa,akaanza safar ya kurud nyumbanbaada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mkewangu huyo paka yupo? MKE:Ndio mume wangutena ametulia hapa kwan imekuaje? JAMAA:hebumpe cm anielekeze njia ya kurud nimepotea๐ณ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read …
Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake Read More »
Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la โฆ.” Read and Write Comments
Duh. mjamzito ana kazi
๐๐๐๐ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba Read and Write Comments
Misemo 17 ya kuchekesha
1) gari la kuvutwa halina overtake2) kisigino hakikakai mbele3) wimbo wa taifa haupgwi disko4) feni haiwashwi beach5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges6) mganga haagiz tembele7) hata bibi alikuwa bint8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa9) kipara bila pesa ni kovu10) mbwa hanenepi migiuu11) picha ya rais haina bodyguard12) mjini shule kijiji tuition13) saa ya …
Ziara za kushtukiza zinachekesha sana
Mimi Nimecheka sana๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ZIARA ZA KUSHTUKIZA๐๐Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo. Nikaona …
Duh. Chezeya kuhama!
Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Read and Write Comments
BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI
Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake. Read and Write Comments
Angalia pombe ilichomfanya huyu jamaa, kweli pombe haimuachi mtu salama
Leo nimeiogopa pombe. Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko clubโฆ..nkamsikia anasema “wee dj noomaaaa” Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan? Nlivyokuwa na roho mbaya Nikamwambia iyo ni collabo ya Yamaha na Petrol๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ












































































Recent Comments