
Madenge hakosi visa. Soma hii
MADENGEHAKOSIVISAbaada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayoMADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu ww inakuuma? lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu kila mtu akae na mamayake. 😂😂😂 Read and …

Angalia nilichomfanyia huyu dereva sasa
Tulikua kwa basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nkamuuliza otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sanaNA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI. 🤕🤕🤕🤕SODA ZA WAGONJWA PLIIIZ!!! 🙏🙏🙏🙏🙏 Read and Write Comments

Cheki kilichonipata sasa, ungekua wewe ungefanyaje?
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali baraa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.

Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu
Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka. Read and Write Comments

Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib…BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu AlafuWakafanya Nini Hawa Nguruwe… DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Zakikazi…MAMA: Kwa Hasira Babako Amesema UwacheKuongea Na Chakula …

Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta
MUME: Fungua mlango! MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako. MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa. MKE. Kufa huna faida yoyote duniani! MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii! MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje. MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje. MUME: Piga …
Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta Read More »

Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale. Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/= Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4. Babu akagoma kulipa akasema aitiwe …
Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu Read More »

Wasichana wa leo
Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake. #Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha. #Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu? #Jamaaa: nimeoa.#Msichanaa: Hɛɛɛɛɛɛɛɛ! We umenishtua sana,mm nilifikiri hili gari sio lako!🙆🙆🤗🤗 Read and Write Comments

Angalia Kiingereza kilivyoniponza
Shikamoo kingereza..! Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa: Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole! Price: TSH 44,000/= Nikaagiza! Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..🤔 hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo🤒💨 Read and Write Comments

Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko
Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hii… …Samahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea. Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nabii na Mchumba wangu mpya nilie mpata kanisani. Samahani kwa usumbufu uliojitokeza lakini hilo ni kwa ajili ya utukufu wa bwana!!! …

Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka
Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?

Kichekesho cha mtalii na mbongo
Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote! Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, “Do you know Biology, Psychology and Anthropology?” Kijana akajibu “NO,” Mtalii akamwambia “nothing you know under the sun? You are useless, and u’ll die with your illiteracy!” baada ya muda …

Wazo la jioni hii
📢WAZO LA JIONI HII 📢 KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA😝 Read and Write Comments

Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la ….” Read and Write Comments

Januari kweli ngumu, soma hii
Januari kweli kiboko Hii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani unakutana mjini na mtu ana mchicha shingoni…😂 Read and Write Comments

Angalia hawa kina mama, ni shida..!
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza “Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?” Akajibiwa “Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu 😳😳😳😳😳 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?
Wanaume wana upendo kwa kweli. Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*Kwa namna hii wanaume wana Upendo Sana😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Cheka kidogo hapa. Huyu Chizi Kachizika Kweli
Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya matako si mazima kabisa wao wameyatupa!😆😆😆 Read and Write Comments

Kilichotokea baada ya bibi na babu kukumbukia mahaba ya ujanani
Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku, aliporudi nyumbani akamuuliza mkewe kwa hasira; sasa tumepanga nin halafu haujatokea ?

Huyu dogo nimsaidieje? Cheki alivyojichanganya
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ”ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!! .. NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI, Read and Write Comments
Recent Comments