Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali balaa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.
Ebwana si akatoa simu hiyo inauzwa laki sita mimi hapa nina kisimu cha tochi tena nimefunga na rababendi
Je, wewe ungeendelea kumtajia namba zako!!!
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! 😃
Hii imenikuna hadi nina furaha! 😊😂
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! 😆
Hii imenipa kicheko cha siku! 😂🤣
Haha, hii ni ya kuhifadhi! 📌