
Wazo la asubuh – penzi la kuku
Wazo la asubui🙈Penzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao.Lakini binadamu masaa kibao mtoto 1 au 2. Sasa binadam na kuku nani JEMBE? Ukimwona JOGOO popote piga SALUTI!😂😂😂😂😂😂😂😂ukinuna poa tu!!!!!🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 Read and Write Comments

Hii dunia kweli haina haki, soma hii
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,? Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💤 Read and Write Comments

Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka. Read and Write Comments

Cheki tulichokifanya jana
JANA APA HOME JENERETA LILIWASHWA ACHA TUHANGAIKE KULIKUNA 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Mume alichomjibu mchepuko wa mke wake
😎 Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, ‘We nani?’, Jamaa akajibu, ‘Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri …

Huyu Jamaa bwana! Cheki anavyojibu sasa
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_*Massai:* _safi rafiki_ *Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_*Massai:* _ulisa acha maneno yako._*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_*Massai:* _swala watatu na tembo saba_😆😆😆😆😆😆👆🏿 Read and Write Comments

Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa “DADDY IS AT HOME?” by Ngozi Okafor

Misemo ya kina dada
Misemo ya kina dada walianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikatoka nyingine nishiiiiida! Unaijua iliyotoka Leo? Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini? Read and Write Comments

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Hapa ni shida KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments

Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka
Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?

Hili nalo neno kwa wavulana
Hili nalo neno Demu wako anakuja kwako kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo kama king’ora cha ambulance. Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli. 😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu
Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga …

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?
Google alisema : mimi nina kila kitu Facebook ikasema : mimi najua watu wote Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu ! umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Duh! Wanaume jamani…
Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. 😆😆😆mungu anatuona jaman😆😆😆😆😆😆Makeup ya matako iletwe Read and Write Comments

Hii bahati mbaya hii haifai kusema Samahani
(KIFO NI NIN)KIFO ni pale unapokosea text na kumtumia BABA yako kipindi mnakula“hello Mrembo”😁😁 Kama utazubutu kusema Samahani 😁 Read and Write Comments

Cheki nilichomfanyia boss wangu
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami.. Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah…!!sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!!Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna …

Simu ilivyozua utata
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja …

Duh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi😂😂😂 Read and Write Comments

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika
HABARI MPASUKO.. jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akiji uma mwenye ndo …

Watu wana vimaneno
Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tu Dah!! Nimecheka hadi basi leo 😸😸😹😹 Read and Write Comments
Recent Comments