Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni “nikusaidie nini?”
Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
NIMEKAA NIKAWAZA ππΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIππ» WAAFRIKA HATUYAJUI π KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πΊπΈWACHINAπ―π΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπ½πͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO MAMBO YENYEWE,, HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA ππππ Read and Write Comments
Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisaβ¦. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeyeβ¦β¦Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.“Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatokaβ¦ sorry bae sitaweza kuja kwa leoβ¦ sooo sorry!”Mshkaji jiii! hajajibu kituβ¦.. …
Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniβ¦unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ¦ππππ Read and Write Comments
Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliβ¦ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa …
Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?
JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza ‘morning’ na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ‘ g9t Read and Write Comments
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interviewπ₯π₯π₯π My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa videoππππππππ Read and Write Comments
Soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?
Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba,
Ndege ya Tanzania
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo: Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chakeWalipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:Kama ndege hii imetengenezwa na watanzania, hata kuwaka …
Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete
Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu,
Januari kweli ngumu, soma hii
Januari kweli kiboko Hii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani unakutana mjini na mtu ana mchicha shingoniβ¦π Read and Write Comments
Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments
Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo? Mtoto: Nina akiliβ¦ Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni hayaβ¦. Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi? Dogo: Yatabaki 19. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka …
Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu
Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga …
Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!β¦ DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet ππππ Read and Write Comments
Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.ππππ Read and Write Comments
Hawa ndio wanaume wanaoweza kushinda vishawishi
Wanaume wenye kushinda vishawishi ni; Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishiπ€£π€£π€£π€£π€£ πββπββπββπββπββπββ Read and Write Comments
Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πππ
Marafiki wawiliΒ (Jose na Ben)Β walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu. Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo: Ben:Β Muone yule mrembo amenirushia busu Jose:Β tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali.. (baadae yule mwanamke akamuashiria aende) Ben:Β yule mwanamke ameniita! Jose:Β Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha. Ben:Β Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? …
Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πππ Read More »
Amri za chuo
Ndio hizi sasa 1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.5.Usisapu6.Usidisko7.Usitumie mkopo ovyo.8.Usitaman chuo cha mwenzio9.Usitamani fakat ya mwenzio10. Usitaman bumu lake wala chochote alichonacho. hahaha chezea chuo …
I’m so happy you’re here! π₯³














































































Recent Comments