Duh! Wanaume jamaniโฆ
Lakini sisi wanaume hatuko fair โฆ Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. ๐๐๐mungu anatuona jaman๐๐๐๐๐๐Makeup ya matako iletwe Read and Write Comments
Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo
Dokta alipotembelea wodi ya mgonjwa wake aliyepata ajali. Mgonjwa akiwa amening’inizwa mikono juu akauliza “dokta ntaweza kweli kupiga kinanda nkitoka hospitali?”
Dokta: Bila shaka utaweza, wewe ni mpiga kinanda mzuri enh?
Mgonjwa: Hapana sijawahi kabisa bado.
Utani kwa wadada wembamba
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii โฆโฆโฆmnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Read and Write Comments
Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi
JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa? FANYA HAYA; 1. Kopa mkopo mkubwa benki 2. Nunua gari bovu la biashara 3.Oana na mke mwenye kelele. Ukiona miezi mitatu hakijaisha basi ujue umevimba BANDAMA sio kitambi.. Read and Write Comments
Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!
Binti: Hallow mpenzi, Mambo Jamaa: Poa baby Binti:Uko wapi? Jamaa: Niko town napata lunch Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini? Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya …
Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana! Read More »
Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari
Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupoย kibaruani. Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskiaย i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company ๐๐๐ ย Read and Write Comments
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Ziara za kushtukiza zinachekesha sana
Mimi Nimecheka sana๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ZIARA ZA KUSHTUKIZA๐๐Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo. Nikaona …
Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara
MZEE:”sasa huyu mgeni sijui alale wap?”
MKE:”saa hizi ni usiku akalale na Bebi.”
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:”msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi” akalala
asubh wanakunywaย
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa.. yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu Akikuita tu “my love”unajiskia tu kuvua nguo mwenywe..hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee Yani …
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi?? Read More »
Sio kwa wivu huu
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya โฆinauma sanaaโฆ WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu Read and Write Comments
Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Hali za ndoa
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha kikao cha …
Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?
JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza ‘morning’ na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ‘ g9t Read and Write Comments
Duh, huyu mama alichokifanya
Mke:ย Naelekea london, nikuletee zawadi gani? Mume:ย kitu gani unaweza niletea wewe? Mke:ย we omba Alafu utaona. Mume:ย Niletee msichana wa kizungu. Mke:ย (mke akaendaLondon na kurudi) Mume:ย zawadi yangu iko wapi? Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! ๐๐๐๐๐๐๐๐Pia Wamama hawapendi ujinga Read and Write Comments
Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni
Fanya hivi Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie “NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA”atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zoote๐ Read and Write Comments
Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele “mamaa” mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu “mama nimeota ndoto mbaya sana” ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu “nimeota tumefungua shule” ๐๐๐๐๐ ๐๐Kibaooooo nyau wewe Read and Write Comments
Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake
1. Ticha:”Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamiliaโฆ.Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?”
ZUZU:”Sunguramilia.”
2.Ticha:”Rais wa kwanza wa kenya aliitwa KENYATTAโฆJe rais wa kwanza wa
Tanzania aliitwaje?”
ZUZU:”TANZANIATTA.”
3. Ticha:”Kuku yuko katika jamii ya NDEGEโฆJe samaki yuko katika jamii ya nini?”
ZUZU:”MELI.”
ย
Kilichotokea Leo mahakamani
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! OrderโฆMimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu โฆNimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..i think wananiandalia chapati๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ














































































Recent Comments