Hii ndio Bongo
Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.
MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi….kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .
BINTI: Mi naitaka hii
MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard
MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee
MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lako…
Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.
MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano.
MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
💦😆💦
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! 💰
ABU MAHEMBE
mtoto kamwambia mamayake mama naomba niangarie tivii mama akamjibu angaria ira usiwashe
Hii imenikumbusha enzi zile! 😅😂
ABU MAHEMBE
Lizki nilizki tu
Shehe mmoja alipokuwa anatoka msikitini
Akaona kitamba kizulii kama kimefungwa nakitu ndani yake akikichukua nakufungua akakuta zahabu.
Akakikunja vilevile nakukiweka pale pale akaenda kwake nakumuadisia mkewe mkewangu leo wakati napita pale pamoja naile nembo nimeogota zahabu mke akastuka tumekuwa matajili tumekua matajili mmewangu ikowapi mme akajibu sikufanikiwa kuileta mkewangu hawezi juwa inavitu gani mke akalamika akafoka yani a a hatakama ndo shehe unaacha utajir unauwona hapana wemwanaume mume akamjibu kama niliziki itakuja hapahpa ndani mkea analiatu umeacha utajili naizi shidazetu hapana
Kumbe wakati wanaongea kunawaizi walikuwa banda lakuku wanaiba kuku wakaskia wakatoka mbio kwenda nembo alipofika wakakuta kile kitambaa kukifungua wakakuta mavi wakasema ahaaa yule mpuz alijisemesha vile ili tutoke itakuwa alikuwa ashatuona sasa tunaenda kumtupia maviake palepale kwake wakaenda paka nyuma yanyumba yyule shehe wakapitisha kilivondoka shehe kuangalia nizahabu
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! 😅
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! ☕😆
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🤣