Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacy
Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
Maisha ya kijijini hadi raha!!
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe,Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000.Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!😀😀😀😀😀😀😀 Read and Write Comments
Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia “imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana”.
Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki2.Utamu wa chips mimba3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni4. Usiyempenda kaja5. Kobe hapimwi joto6. Acha kazi uone kaz kupata kaz7. Ukichezea koki utalowa8. Heshima pesa kipara kovu tu!9. Mtumbwi hauna saitmira.9. Silaha pesa bastola mzigo10. Hata uoge …
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Kisa cha mzaramo na mchaga
MZARAMO V/S MCHAGA.Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yoooooootekwa tsh. 100,000/=Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia lakiyako nakukuongeza laki nyingine.MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.MZARAMO: “unaumwa nini?”MCHAGA: “Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa..”MZARAMO: “sawa, toa laki kabisa..”Mchaga akatoa.MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; “Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu..”MCHAGA akanywa akatema faster; “Puh puu puu, …
Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa
😂😂 kweli nimeamin mitandao inahribu watu Leo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabaran kapendeza jamaa kamwendea Dada akamwambia!Dada nice photo 😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa
Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia. Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!. kanisa zima hoi, Read and Write Comments
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au
Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:- 1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.Mbwa mjane.5.Kuku aliye single.6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga7.Mti wenye ujauzito.8.Mbavu za Nzi.9.Nywele za Kiroboto.10.Mwanya wa Mbu.Duuh..!! mwanangu kwa hali hii mbona itakula kwako.Wengine wanasemagaIGA UFE! Rizik anagawa Mungu tu shetan simuelew! Read and Write Comments
Mwizi kawezwa ki kwelii
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚶🏻 na kitu hela mm! Read and Write Comments
Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga
Ndoto zingine bwana usiombe zikupate Mimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hivyo ikabidi nishuke ili kuisukuma loh! Yani kudadeki ile kuamka nikakuta nimesukuma kitanda hadi sebleni Daaa ilinisikitisha sana jiangalie sana sese hivi ndio narudisha kitanda chumbani .angalizo angalia ndoto unazo …
Angalia huyu mwalimu alichokifanya
Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinomaakawambia wanafunzi. ‘leo tutajifunza kipindi chadini ” wanafunzi wakiwa wanajiandaa ili kuendeleana kipindi mwalimu akajiegesha kwenye kiti klichokuakaribuu yake baada ya dakika kadhaa mwalimu alipitiwana usingizi, ghafla alingia mkurugenzi nakusimama pembeni mwa kile kiti alichokalia mwalimughafla kmya kikatawala darasani kiasi cha kunfanyamwalimu ashtuke usingizini aliamka huku akipigamiayo alpotupa jicho pembeni …
Kifahamu Kidada kimbea kilichofukuzwa kazi
Unafahamu? Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzako 📲 📲 Read and Write Comments
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake
Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-
Demu: hello baby wangu leo bata wapi?
Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake
Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa. Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako. Mume Akasema👉👉 Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja Mauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Tenda Wema Uende Zako
Nimekuta panya ana struggle kuingia chini ya mlango wa jirani yangu… Nikagonga mlango Jirani kafungua panya akapenya mi nkaenda zangu….. Tenda Wema Uende Zako!!! Sipendi Ujinga mimi kwanini panya wa watu apate shida Read and Write Comments
Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, “naomba leseni yako.”Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu!Haya nendaUlevi sio mzuri😄😄😄😄 Read and Write Comments
Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia
……… Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha… Ndugu yangu….. Msamehe…. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa…. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao…… Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKA….. 😂……… 😂…….. 😂 Read and Write Comments
BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI
Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake. Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments