Angalia Kiingereza kilivyoniponza
Shikamoo kingereza..!Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!Price: TSH 44,000/=Nikaagiza!Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..🤔hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo🤒💨 Read and Write Comments
Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!
Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema
Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…😂😂 Read and Write Comments
Askari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande
Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta
ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa
Chezea kufulia!
Huu Mwezi jinsi nilivyofulia yaani hata nikikuta mende wamesimama wawili najua wananisema 😂😂😂 Read and Write Comments
Hii sasa kali kweli kweli!!
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake…bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=. Kuna jamaa akatoa 500/=. MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza. MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji. 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?
Siku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiri Hakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadundaDeni,, Deni,Deni, Deni .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶🏽♂ Read and Write Comments
Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka
Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?
Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? *sipendagi ujinga Read and Write Comments
Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale. Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/= Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4. Babu akagoma kulipa akasema aitiwe …
Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu Read More »
Angalia anachokisema Madenge sasa
MWALIMU kaingia darasani na kusema. “Wanaojijua wajinga wasimame”. MADENGE akasimama peke yake. MWALIMU: Wewe ndio mjinga? MADENGE: Hapana, ila nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya angalau tuwe wawili. Read and Write Comments
Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test
Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.
Swali la kwanza,
Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)
WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la
Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?
Ukiona hivyo ujue ndio hivi Mwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmh😨😨 hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tu “Huyu.mkaka hapana kwa kweli”🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂ Read and Write Comments
Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii
Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leo Wadada acheni hizo 😝😝😝😝🏃�🏃�🏃�🏃 Read and Write Comments
Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake
WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au
Huyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu??? MME: Hapana mke wangu, sema kingine MKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs? MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue Read and Write Comments
Mipango ya mke na mume ya pasaka
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..Mume: Nitafanya kama yesu..Mke: Unamaanisha Nini? Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria..Mume: Unamaanisha Nini?Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu..Mume: 😳😳😳 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments