
Hii dunia kweli haina haki, soma hii
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,?Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💤 Read and Write Comments

Hii bahati mbaya hii haifai kusema Samahani
(KIFO NI NIN)KIFO ni pale unapokosea text na kumtumia BABA yako kipindi mnakula“hello Mrembo”😁😁 Kama utazubutu kusema Samahani 😁 Read and Write Comments

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Hapa ni shida KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; “Tupige magoti tusali”,
Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emen…

Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.😃😃😃😃 Read and Write Comments

Mwizi kawezwa ki kwelii
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚶🏻 na kitu hela mm! Read and Write Comments

Hakuna siku mbaya maishani kama hii
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili 😂😂😂hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja Read and Write Comments

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani. Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! …
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!! Read More »

Kilichotokea nikiiwa namsaidia mtoto home work
Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza “Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, “toa Kwanza nizione..”😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma
Ukioa mke asiyesoma hata hili unaweza kufanya KUOA MKE AMBAE HAJASOMA RAHA SANA LEO NIMEMUAMBIA MWEZI HUU HATUTOLIPWA MSHAHARA KWAKUA HAUNA TR 30 KAENDA KUNGALIA KARENDA KARUDI ANANIAMBIA HAMNA SHIDA MME WANGU TUTAVUMILIA TU 🤣🤣🤣 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂ Read and Write Comments

Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya
Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah

Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo
STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaa…👉sick👉at movie 👉 in a meeting2👉 kind of happy,, 👉busy,,👉available👉Driving👉sleeping STATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBONGO NGAFU “Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa “Watu tuna nyota za Chips Mayai sio wewe mwenye Nyota ya Punda,halulaaa” 👌Kantangazeee ndo Kwanza naanza na ntakukomesha Mwanaharamu we! 😍 …

Cheka na methali
1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka7.Dua la kuku=Bismilah rahman rahim11.Penye wengi= Pana Ajali au Tukio12.Ukiona vyaelea= Ujue ni vyepesi.13.Mwenye nguvu= amekula ugal wa dona(…..) Read and Write Comments

Duh, huyu mama alichokifanya
Mke: Naelekea london, nikuletee zawadi gani? Mume: kitu gani unaweza niletea wewe? Mke: we omba Alafu utaona. Mume: Niletee msichana wa kizungu. Mke: (mke akaendaLondon na kurudi) Mume: zawadi yangu iko wapi? Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! 😂😂😂😂😂😂😜🙈Pia Wamama hawapendi ujinga Read and Write Comments

Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?Miaka 26: Wenzio wanaolewa.Miaka 30: Tumekuambia kwamba achakuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kuleanaombea unaweza kupata mchumbaMiaka 36: At least pata mtoto mmoja.Miaka 39: We will take care of all the weddingbills…yeyote ni …
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti Read More »

Duh! Hiki nacho chombo cha moto?
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi 😡.__Hizi sheria zinapendelea._😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.

Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!! Inabidi dem asisitize,”I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN” Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia ‘NIPENDE ATA NA KIDNEY’😃😃😙😃😃😃😗😃 Read and Write Comments

Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana
Duh! Maisha Ile time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATA Ni shetani tu anajaribu kucheza na akili zenu😂😂😂😂 Read and Write Comments
Recent Comments